Tanz-Hand's – Mgahawa

Tangu mwezi Augosti 1, 2009, tumekuwa tukikaribisha wageni katika duka jipya la Tanz-Hand’s. Wasafiri, watalii, wenyeji na watu toka nje wanafurahia kikombe cha kahawa na keki freshi hapa kwetu.

Mpangilio na uendeshaji wa Chuo, Tumepata duka, kwa kweli ni kwa sababu ya bidii ya timu ya watumishi, na mapato ambayo yanachangia kifedha ili kufikia nia yetu.  Kwenye duka hili Tanz-Hand’s ni mahali unapoweza kununua bidhaa ambazo zimetengenezwa na wanafunzi wetu.

Unakaribishwa kupitia, ututembelee ufurahie hali ya hapa.

Tunategemea kukuhudumia mapema.

Tanz Hand's Cafe
Cafe
 

URRC @ Social Media

Ma mawasiliano

ELCT Usa River
Rehabilitation and Training Center
P. O. Box 47
Usa River - Tanzania

00255 / 27 255 34 27

E-Mail