Msaada wako

Zusammen helfen...

Sisi kama NGO (Shirika lisilo la kiserikali) tunatakiwa kuendesha chuo chetu wenyewe. Tunafanya hivi kutokana na miradi nyumba ya wageni,duka letu,pia kutoka kwa wadhamini wetu wanaotufadhili kifedha. Katika sehemu hii ya tovuti yetu tunapenda kukuonyesha msaada wako utakavyo wezesha na kwa hicho kidogo unavyo wezesha kuendeleza nafasi za mabweni ya wanafunzi wetu na hata kujenga mabweni mapya.
Zaidi ya hayo tunatoa nafasi za watu wanao jitolea kufanya kazi hapa chuoni kwetu, chini ya masharti fulani.Haya hujumuisha kuishi hapa chuoni kwa uaminifu katika kazi za kila siku na ratiba ya shule.

URRC @ Social Media

Ma mawasiliano

ELCT Usa River
Rehabilitation and Training Center
P. O. Box 47
Usa River - Tanzania

00255 / 27 255 34 27

E-Mail