Historia ya Raphael

Raphael

Anayetegemewa na mwenye mafanikio ni mfano mzuri wa mwanafunzi aliyefanikiwa. Miaka ya tisini alimaliza mafunzo kwenye darasa la ushonaji viatu hapa chuoni. Mwaka 1996 tulimsaidia kuanzisha biashara yake mwenyewe.

Raphael, ambaye bado anahitaji fimbo za kutembelea na baiskeli, amefanikiwa vizuri. Leo hii ni mshonaji viatu amefanikiwa na anategemewa na jamii kwenye kijiji chake cha Sanya Juu Kazi yake inapendwa na watu wengi na pia ameanzisha karakana ndogo ya viatu na amejenga nyumba yake mwenyewe.

URRC @ Social Media

Ma mawasiliano

ELCT Usa River
Rehabilitation and Training Center
P. O. Box 47
Usa River - Tanzania

00255 / 27 255 34 27

E-Mail