Historia ya Daima

Daima ambaye vilevile ana miaka 12, ameweza sasa kuanza shule ya msingi Faraja. Amefanyiwa upasuaji mara kwa mara na timu ya mradi wa upasuaji ‚(Feuerkinder)’ kutoka Rummelsberg, Ujerumani.

Familia za hawa watoto wawili hazikuwa na uwezo wa kulipa ada. Tuliweza kuwasaidia kwa sababu ya watu wema walio tusadia na wanaendelea kutusaidia kwenye kazi yetu.

Asanteni sana!

Daima
 

URRC @ Social Media

Ma mawasiliano

ELCT Usa River
Rehabilitation and Training Center
P. O. Box 47
Usa River - Tanzania

00255 / 27 255 34 27

E-Mail